Mwandishi Maalum, Mwanza. UTATA mkubwa umekigubika kikao baina ya mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa katika mbio za urais mwaka 2015, Januar...
ASKOFU KAKOBE AUNGWA MKONO
Na Catherine Oguda, Dar es Salaam WATU mbalimbali waliotoa maoni yao kufuatia mahubiri ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible ...
CVC kuazimisha miaka 25
Na Doris Petro KWAYA ya Chang’ombe Vijana (CVC), ambayo iko chini ya Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT), Ushirika wa Chan...
KWAHERI MANDELA (1918-2013)
Johannesburg.Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amefariki dunia jana nyumbani kwake, Mtaa wa Houghton, Johannesburg ak...
KANISA LA UFUFUO NA UZIMA LAJITETEA KUPIGWA MTU MKUTANONI
Na Mwandishi Maalum MASAA machache baada ya mtandao huu kurusha hewani habari inayodai kuwa, mtu mmoja amepigwa kufuatia kumpiga picha mwa...
APOKEA KIPIGO KWA KUPIGA PICHA MSUKULE WA GWAJIMA
Na Nestory Ngwega, Tanga KATIKA hali isiyo ya kawaida kutokea kwenye mikutano ya injili,watumishi wa mhubiri mwenye jina kubwa nchini...
POLISI WAKAMATA MAJOKA YALIYOHIFADHIWA KANISANI, MCHUNGAJI KUPANDISHWA KORTINI
Na Anugrah Kumar MAOFISA wa serikali nchini Marekani, wamekamata aina mbalimbali za nyoka wapatao 50 waliokuwa wakihifadhiwa katika K...
WAISLAMU WAANZISHA DUKA LA KUFUNDISHA KUJAMIIANA KIISLAMU
Na Katherine Weber WAKATI hapa nchini Waislamu wakianzisha mkakati wa kuhakikisha vyakula na baadhi ya vipodozi vinaandaliwa kwa kuf...